Gazeti hilo pia limesema, maduka zaidi ya 500 yameharibiwa na moto uliosababishwa na risasi mwishoni mwa wiki iliyopita.
1 Oktoba 2012 - 17:03
Msimbo wa Habari: 352790
Tovuti ya gazeti la al-Watan nchini Syria leo imetoa habari kuwa, jeshi la serikali ya Syria na waasi wamepambana jana huko Aleppo, mji wa kaskazini nchini humo, na waasi 235 wameuawa katika mapambano hayo.